Mtunzi: Florian P. Ndwata
> Mfahamu Zaidi Florian P. Ndwata
> Tazama Nyimbo nyingine za Florian P. Ndwata
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 506 | Umetazamwa mara 2,222
Download Nota Download MidiNa ahimidiwe yeye aketiye juu, kwa jina la Bwana x 2.
Mashairi:
1 (a) Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema
(b) Kwa maana fadhili zake ni za milele,
(c) Ni heri kumkimbilia Bwana.
2 (a) Nifungulieni malango ya haki
(b) Nitaingia na kumfuata Bwana
(c) Lango hili ni lango la Bwana.
3 (a) Ee Bwana utuokoe twakusihi
(b) Ee Bwana utufanikishe twakusihi
(c) Abarikiwe ajaye kwa jina la Bwana