Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Miito | Shukrani
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 626 | Umetazamwa mara 2,105
Download Nota Download MidiEe Bwana nitahubiri neno lako mataifa yote wakusifu wewe X2 kwa maneno yangu na matendo yangu nitalihubiri neno lako Mungu milele yoteX2
1; Nijalie nguvu nilitangaze neno neno lako Bwana kwa mataifa yote ili wakusifu wewe Bwana milele.
2; Ulinilinda tumbini mwa mama yangu hadi hivi sasa bado hujanitupa nitakushukuru Mungu wangu milele.
3;Ee Bwana Mungu tazama uliniumba kwa sura yako ona ninavyopendeza hivyo yanipasa kushukuru daima.