Ingia / Jisajili

Mungu Mimi Ninakushukuru

Mtunzi: Patrick Ingati
> Mfahamu Zaidi Patrick Ingati
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Ingati

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: patrick ingati

Umepakuliwa mara 240 | Umetazamwa mara 1,212

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Mungu mimi ninakushukuru, ninakushukuru kwa wema wako. Ee Mungu mimi ninakushukuru, ninakushukuru kwa wema wako. nikiziimba sifa zako, ninatangaza wema wako, E Mungu mimi ninakushukuru, ninakushukuru kwa wema wako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa