Ingia / Jisajili

MUNGU NA ATUFADHILI NA KUTUBARIKI

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 993 | Umetazamwa mara 2,214

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Mungu na atufadhili na kutubariki, Mungu na atufadhili na kutubariki. 1.Mungu na atufadhili na kutubariki, na kutuangazia sisi uso wake, njia yake ijulike duniani, wokovu wake katikati ya mataifa. 2.Mataifa na washangilie, naam, waimbe kwa furaha, maana kwa haki utawahukumu watu, na kuwaongoza mataifa walioko duniani. 3.Nchi imetoa mazao yake, Mungu, Mungu wetu , ametubariki, Mungu atatubariki sisi: Miisho yote ya dunia itamcha yeye.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa