Ingia / Jisajili

BWANA YU KARIBU NA WOTE WAMWITAO

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 1,650 | Umetazamwa mara 3,901

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Bwana yu karibu na wote wamwitao. 1.Kila siku nitakuhimidi Mungu wangu, nitalisifu jina lako milele na milele. 2.Bwana ndiye mkuu mwenye kusifiwa sana, wala ukuu wake hautambulikani kweli. 3.Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira na ni mwingi wa rehema. 4. Bwana ni mwema sana kwa watu wote, na rehema zake zi juu ya kazi zake zote. 5.Bwana ni mwenye haki katika njia zake zote, na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote. 6. Bwana yu karibu na wote wamwitao, wote wamwitao kwa uaminifu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa