Mtunzi: Paschal Florian Mwarabu
> Tazama Nyimbo nyingine za Paschal Florian Mwarabu
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 2,244 | Umetazamwa mara 5,688
Download Nota Download MidiP.F.MWARABU
05.11.1995
Njoni tumwimbie Mungu wetu aketiye juu mbinguni kwenye kiti cha enzi atawala milele
Tumshangilie Mfalme wetu aketiye juu mbinguni kwenye kiti cha enzi atawala milele
1. Atawala watu na viumbe vyote vilivyoko ulimwenguni kote
2. Atawala mbingu dunia na nyota, mwezi, jua na hewa ya angani
3. Bahari milima mito na maziwa mimea yote atawala milele
4. Tumhimidi Bwana kwa ukuu wake tumtukuze milele na milele