Ingia / Jisajili

Tutoe Kwa Bwana

Mtunzi: Stephen Kagama
> Mfahamu Zaidi Stephen Kagama
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Kagama

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Stephen Kagama

Umepakuliwa mara 83 | Umetazamwa mara 221

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sasa ni wakati wakutoa sadaka zetu simameni twendeni tutoe kwa Bwana.Tukatoe, twende tukatoe kwa ukarimu , kwa moyo wote simameni twendeni tutoe kwa Bwana 1.Ndugu fikiri wema wa Mungu yatupasa twendeni tutoe kwa Bwana 2.Ni mema mengi katujalia yatupasa twendeni tutoe kwa Bwana 3.Anatulinda kila siku yatupasa twendeni tutoe kwa Bwana 4.Ridhiki zetu hutoa Mungu yatupasa twendeni tutoe kwa Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa