Mtunzi: E. Kalluh
> Tazama Nyimbo nyingine za E. Kalluh
Makundi Nyimbo: Matawi
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,874 | Umetazamwa mara 12,281
Download Nota Download MidiMashairi:
1. Wote wanionao hunicheka sana/ Hunifyonya, wakitikisa vichwa vyao.
2. Husema: Umtegemee Bwana, na amponye/ Na amwokoe sasa, maana apendezwa naye.
3. Kwa maana mbwa wamenizunguka/Kusanyiko la waovu, wamenisonga yamenizua mikono na miguu.
4. Wanagawanya nguo zangu, na vazi langu wanalipigia kura / Nawe, Bwana, usiwe mbali, Ee Mungu wangu, fanya haraka kunisaidia.
5. Nitalihubiri jina lako kwa ndugu zangu / Katikati ya kusanyiko nitakusifu.