Ingia / Jisajili

Tunzeni Kiapo

Mtunzi: M.d. Matonange
> Tazama Nyimbo nyingine za M.d. Matonange

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Michael Kiduta

Umepakuliwa mara 944 | Umetazamwa mara 3,318

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunzeni kiapo chenu enyi wana ndoa mlichoapa leo tuishi pamoja pamoja kwa upendo, tazama mmeapa mmeapa leo mbele yake Mungu si wawili tena bali ni mwili mmoja. 1.Ee Mungu baba mwenyezi tunakuomba walinde hawa wapendwa kwa neno lako waishi kwa upendo wakutukuze wewe 2. Mke mtii mume mume wako mume mpende mke mke wako muishi kwa upendo katika nyumba yenu 3. Nasi tu mashahidi mashahidi wenu twawaombea kwa Mungu awalinde muishi kwa upendo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa