Ingia / Jisajili

Mwana Mpotevu

Mtunzi: Daniel P. Mnyawi
> Mfahamu Zaidi Daniel P. Mnyawi
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel P. Mnyawi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Daniel Mnyawi

Umepakuliwa mara 236 | Umetazamwa mara 545

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Mwana mpotevu alirudi tena kwa baba yake na kusema, baba yangu nimekosa sana juu ya mbingu na mbele yako. Mashairi 1. Nimekosa sana mbele yako baba, sistahili kuitwa mwanao bali unifanye mtumwa wako. 2. Nitakase bwana na uovu wangu, unisafishe kwa damu yako, Bwana unioshe nitakate. 3. Ninatubu Bwana nimekosa kwako, unisamehe dhambi zangu zote, Bwana unihurumie mimi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa