Ingia / Jisajili

Piga Kelele Ufurahi

Mtunzi: Daniel P. Mnyawi
> Mfahamu Zaidi Daniel P. Mnyawi
> Tazama Nyimbo nyingine za Daniel P. Mnyawi

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Daniel Mnyawi

Umepakuliwa mara 78 | Umetazamwa mara 263

Download Nota
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Piga kelele leo ufurahie, mwokozi wetu Yesu amefufuka, Aleluya, ni mzima ameyashinda mauti, amemshinda muovu leo yu mzima. Mashairi. 1. Alfajiri na mapema Mariamu magdalena walipofika kaburini kulitazama kaburi wakalikuta liko wazi jiwe limeviringishwa wakaingiwa na hofu ya kutouona mwili. 2. Malaika kawaambia msiwe na wasiwasi kwanini mwamtafuta Yesu aliye mzima, Hakika amefufuka ameyashinda mauti nanyi mfanye upesi kuwapasha wanafunzi.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa