Mtunzi: Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Mfahamu Zaidi Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Tazama Nyimbo nyingine za Poi Tobiasi Mkwalakwala
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Thobias Poi
Umepakuliwa mara 227 | Umetazamwa mara 1,216
Download Nota Download MidiKwa njia ya Rehema za Mungu wetu, Mwangaza utokao juu umetufikia (k)
1. Kuwaangaza wakao katika giza na uvuli wa mauti, na kuiongoza miguu yao kwenye njia ya Amani.
2. Tuokoe mikononi mwa adui zetu, na kumwabudu pasipo Hofu