Mtunzi: Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Mfahamu Zaidi Poi Tobiasi Mkwalakwala
> Tazama Nyimbo nyingine za Poi Tobiasi Mkwalakwala
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Thobias Poi
Umepakuliwa mara 907 | Umetazamwa mara 2,599
Download Nota Download MidiKiitikio
Kiitikio
Leta mkono wako, uutie ubavuni Mwangu *2
Wala usiwe asiye amini bali aaminiye, Aleluya.
Mashairi
1. Kisha Yesu akamwambia Tomaso: "Lete hapa kidole chako;
uitazame mikono Yangu; ulete na mkono wako uutie ubavuni Mwangu".
2. Tomaso akajibu akamwambia: "Bwana wangu na Mungu wangu", Aleluya.
3. Yesu akamwambia,, kwa kuwa Wewe umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki" Aleluya.