Ingia / Jisajili

Mwanzi Uliopondeka

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 11,210 | Umetazamwa mara 18,798

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Samuel wanyoike mbugua May 09, 2020
Nashukuru mungu sana kwa utunzi huu mwema mno. Nyimbo zako zinanijenga sana kiroho, pia natamani kukuona sana. Mungu akubariki wewe pamoja na familia yako.

Reuben Boit Apr 15, 2020
Naskia kubarikiwa ninapo utazama na kuizikiliza wimbo huu.. Ubarikiwe na familia yako mkafanane kama mchepuko wa mseituni.

lobuin peter Feb 28, 2020
Hongera kwa huo wimbo mzuri

Noel Kimurgor Nov 21, 2019
Wimbo mtamu, maneno yaliwaza.

John njuki maina Apr 11, 2019
Kati ya nyimbo zako zote bwana Mukasa , huu wimbo hunifanya nisikie kama ningali mbinguni. Wafunzi wote wa Chuka University pia twaupenda.

Jackson Muthini, Kenya Dec 23, 2018
Mwanzi uliopondeka is very nice solemn music, how can I get the music notes? Thanks

ALFRED Dec 02, 2018
BEAUTIFUL PEACE, THANKS FOR SHARING.

Adam B Paraxed Aug 20, 2018
Wimbo mzuri

haron Nyaundi Aug 16, 2018
twashukuru mungu kwa kutupa mtunzi kama huyu. mungu asidi kumuongosa miaka yote

David joseph May 14, 2018
Asante mungu kwa kutupa mtunzi mwema nafarijika sana nisilizapo nyimbo zake mungu ambariki

SILAYO Mar 10, 2018
namshukuru mungu kwa kutupa mtunzi mzur na mweny kipawa kias hiki ubarikiwe saana.

Toa Maoni yako hapa