Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 506 | Umetazamwa mara 2,173
Download Nota Download MidiMWILI WAKE YESU - L MLINGI
Kiitikio.Mwili wake Yesu ni chakula kweli, Damu yake Yesu ni kiywaji safi..
//aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu heri yule anayempokea aulaye
mwili wangu nakuinywa damu yangu huyo hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake x 2
mashairi; 1.Hiki ni chakula kutoka Mbinguni asema Bwana,
b)Hii damu yangu kutoka Mbinguni asema Bwana...kiitikio....
2. shinda ndani yangu unipe uzima wa Milele....
b)kila aulaye anao uzima wa Milele......kiitikio...