Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 786 | Umetazamwa mara 2,884
Download Nota Download MidiNITAKUSHUKURU - BY LUCAS MLINGI
Nitakushukuru Ee Bwana x2 //kwaajili ya fadhili zako na uaminifu wako x2
Soprano.
1.Nitakushukuru kwa moyo wangu wote, mbele ya Miungu nitakuimbia zaburi
nitasuujudu nikilikabili hekalu lako takatifu, nitalisujudu jina lako.
Bass/Tenor
2. Kwaajili ya fadhili zako na uaminifu wako kwa maana umeikuza ahadi yako
ahadi yako kuliko jina lako lote, siku ile niliyokuita uliniitikia ukanifariji nafsi kwa kunitia nguvu.
Alto
3.Ee Bwana wafalme wote wa Dunia watakushukuru watakapoyasikia maneno ya kinywa chako.
Naam! wataziimba sifa za Bwana, kwa maana utukufu wa Bwana ni Mkuu.