Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,064 | Umetazamwa mara 3,362
Download Nota Download Midi
LUCAS MLINGI
DON BOSCO
ARUSHA
Sauti 1: Mama Maria twakusalimu Mama wa Mkombozi twakuheshimu
Sauti 2&3: Mama Maria twakusalimu (Mama) Mama wake Mungu twakuheshimu
Twaja mbele yako, Mama wa mwokozi, (mwokozi) uwinguni uliko utufikishe.
1. Mama mtakatifu Mama wake Mungu twakusalimu, uwinguni uliko utufikishe.
2. Usiye na doa usiye na dhambi tusaidie, uwinguni uliko tufikishe.
3. Mama mpendelevu Mama mstaajabivu mwenye heshima, uwingini uliko utufikishe.
4. Chombo cha neema chombo cha heshima cha ibada, uwinguni uliko utufikishe.
5. Afya ya wagonjwa mfariji wetu twakuimbia, uwinguni uliko utufikishe.