Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 1,671 | Umetazamwa mara 5,975
Download Nota Download MidiKiitikio: (Sala yangu na ipae mbele yako kama Moshi wa ubani)X2
Mashairi: 1. Ee Bwana tunaomba ikupendeze sadaka Yetu
2. Twakuomba ipokee, ibariki na itakase
3. Twajitoa kwako baba na maisha yetu uyabariki