Mtunzi: Madam Edwiga Upendo
> Mfahamu Zaidi Madam Edwiga Upendo
> Tazama Nyimbo nyingine za Madam Edwiga Upendo
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Madam Edwiga Upendo
Umepakuliwa mara 2,103 | Umetazamwa mara 4,709
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana utuinulie nuru ya uso wako
Mashairi
1.Ee Mungu wa haki yangu uniitikie niitapo
Umenifanyizia nafasi wakati wa shida
Unifadhili na kuisikia sala yangu
2.Bali jueni ya kuwa Bwana amejiteulia mtauwa
Bwana atasikia nimwitapo
3. Wengi husema, Nani atakayetuonyesha mema?
Bwana utuinulie nuru ya uso wako
4. Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara
Maana wewe Bwana peke yako
Ndiwe unijaliaye kukaa salama