Ingia / Jisajili

TUFURAHI SOTE KATIKA BWANA

Mtunzi: Essau Lupembe
> Mfahamu Zaidi Essau Lupembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Essau Lupembe

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: ESSAU LUPEMBE

Umepakuliwa mara 848 | Umetazamwa mara 2,138

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TUFURAHI SOTE Tunapoadhimisha sikukuu kwa heshima ya Watakatifu wote. 1. Malaika na washngilia sikukuu hii na kumhimidi Mwana wa Mungu. 2. Furahini tema shangilieni kwa kuwa ninyi, thawabu yenu ni kubwa Mbinguni 3. Malaika nao washangilia kwa shangwe kuu wa kimtukuza Mwana wa Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa