Ingia / Jisajili

Mwokozi Amezaliwa

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 385 | Umetazamwa mara 993

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwokozi amezaliwa tufurahi na tushangilie maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa yeye ndiye mfalme wa mbingu na dunia X2

Tumepewa mtoto mwanamume mtoto mwanamume (mwenye) uweza wa kifalme begani mwake naye ataitwa mshauri wa ajabu X2

1. Leo amezaliwa kwa ajili yetu Mwokozi ndiye Kristo Kristo Bwana

2. Miisho ya dunia imeuona wokovu wokovu wake Mungu Mungu wetu

3. Utukufu mbinguni na amani duniani kwa watu wote wenye mapenzi mema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa