Ingia / Jisajili

Sauti Yao Imeenea

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 177 | Umetazamwa mara 183

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sauti ya imeenea duniani mwote na maneno yao hat miisho ya ulimwengu

1. Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu na anga laitangaza kazi ya mikono yake

2. Mchana husemezana na mchana usiku hutolea usiku maarifa

3. Hakuna lugha hakuna lugha wala maneno sauti yao haisikilikani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa