Ingia / Jisajili

NAFSI YANGU ITASHANGILIA KATIKA MUNGU WANGU

Mtunzi: Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Mfahamu Zaidi Pascal Mussa Mwenyipanzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Pascal Mussa Mwenyipanzi

Makundi Nyimbo: Mama Maria | Zaburi

Umepakiwa na: Pascal Mussa

Umepakuliwa mara 975 | Umetazamwa mara 1,955

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Sherehe ya Bikira Maria mkingiwa dhambi ya asili
- Katikati Dominika ya 3 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 3 ya Majilio Mwaka B

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kiitikio: Nafsi yangu itashangilia katika Mungu wangu katika Mungu wangu. 1.Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, na roho yangu imemfurahia Mungu mwokozi wangu. Kwa kuwa ameutazama unyonge wa mjakazi wake, kwa maana tazama tokea sasa vizazi vyote wataniita mbarikiwa. 2.kwa kuwa mwenye nguvu amenitendea makuu, na jina lake ni takatifu. na rehema zake hudumu vizazi hata vizazi, kwa hao wanaomchao. 3.wenye njaa amewashibisha mema, na wenye mali amewaondoa mikono mitupu. Amemsaidia Israeli mtumishi wake, ili kukumbuka rehema zake.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa