Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 461 | Umetazamwa mara 2,303
Download Nota Download Midi1.(a) Yesu wangu najitoa kwako Ee Mwokozi wa-ngu, leo na milele.
(b)Nijalie kukupenda wewe katika hizi si-ku za maisha yangu.
2. (a)Nipe Bwana uzima rohoni niishi na we-we leo na milele.
(b) Nisamehe dhambi zangu zote nilizokute-nda wewe na jirani.
3. (a) Moyo wangu umekiri kwamba wewe ndiwe Bwana na Mwokozi wangu.
(b) Nakuomba nipe ujasiri wa kulitanga-za jina lako Bwana.
4. (a) Nashukuru ewe Mungu wangu kwa uhai na nguvu nasema ahsante.
(b) Sina Mimi cha- kukulipa zaidi ya kuitoa nafsi yangu kwako.