Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 797 | Umetazamwa mara 2,169
Download Nota Download MidiTu watu wake, watu wake- tu watu wake
na kondoo (na kondoo) na kondoo wa mali-sho yake X2
01. Mtumikieni Bwana, kwa furaha, njoni mbele zake, kwa- kuimba.
02. Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu, ndiye aliyetuu-mba nasi tu watu wake, tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.
03. Kwa kuwa Bwana ndiye mwema, Rehema zake ni za milele, na uaminifu wake vizazi na vizazi