Ingia / Jisajili

MVINYO HAUNA SHUJAA

Mtunzi: Severine A. Fabiani
> Mfahamu Zaidi Severine A. Fabiani
> Tazama Nyimbo nyingine za Severine A. Fabiani

Makundi Nyimbo: Anthem | Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Sevelian Fabian

Umepakuliwa mara 202 | Umetazamwa mara 749

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Usijioneshe kuwa wewe ni hodari, tumia akili wewe mvinyo hauna shujaa (Kiitikio) Je anao uzima gani mtu asiye na divai? Nayo ni furaha ya moyo na changamko la roho, nayo imeumbwa kuwafurahisha wanadamu. 2. Lakini kunywa sana ni uchungu wa roho huleta maangamizo ya roho na fedheha, tumia akili wewe mvinyo hauna shujaa. ( Hitimisho) kilevi humzidishia mpumbavu mitego mingi jihadhari ndugu yangu utumiapo kileo.( Ndugu yangu jihadhari na kilevi)..

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa