Ingia / Jisajili

Nakwenda Kwa Baba

Mtunzi: Bernard Mukasa
> Mfahamu Zaidi Bernard Mukasa
> Tazama Nyimbo nyingine za Bernard Mukasa

Makundi Nyimbo: Kupaa kwa Bwana

Umepakiwa na: Bernard Mukasa

Umepakuliwa mara 8,913 | Umetazamwa mara 14,281

Download Nota
Maneno ya wimbo

Nakwenda kwa Baba kuwatayarishieni makao ya mbinguni nitakuja tena niwakaribishe kwangu. x 2

  1. Nitakuja tena niwakaribishe kwangu ili nilipo mimi nanyi muwepo.
     
  2. Msifadhaike mioyoni mwenu mwamini Mungu niamini nami.
     
  3. Nyumbani mwa Baba mna makao mengi kama sivyo ningeliwaarifu.


Maoni - Toa Maoni

shama BURU Sep 29, 2016
SUPREME SPELLS AND SPIRITUAL HEALING Dr.Mama Shama & spiritual Healer with Amazing power get help on love marriage,business,good luck, remove curses and others lost love specialist In 1-2 days Return your lost love with powerful Love spells caster, by Witch Arbela. All you need to know about love spells along with Reuniting Love Spells, Binding Love Spells, Marriage Love Spells and love spells for heartache traditional ancestral spiritual healer and spell caster http://www.powerfullovespellcaster.blogspot.com http://onlinespellcaster.page.tl

Toa Maoni yako hapa