Ingia / Jisajili

Nalifurahi Waliponiambia

Mtunzi: Felician Albert Nyundo
> Tazama Nyimbo nyingine za Felician Albert Nyundo

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Shukrani

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 4,629 | Umetazamwa mara 9,060

Download Nota Download Midi

Maoni - Toa Maoni

Joseph Lyakurwa Apr 06, 2019
Hongereni sana kwa kazi nzuri. Nashauri kama inawezekana mtengeneze app ambayo itapatikana kwenye play store pengine itaweza kuwafikia wengi zaidi. Kwenye app pia inaweza kuwa rahisi kwa anayetaka kuchangia kusupport hii kazi aweze kufanya hivo.

frank salvatory Jul 23, 2017
mnafanya vizuri lkn kwani hamuezi mkatuwekea na audio zake tuzidownload hizo nyimbo kabisa kwa sabubu ukienda kwenye media nyingine kama videorder ni ngumu kuzipata

Ndg.Michael D.Ndimuligo Jun 14, 2016
Pongezi kwa waliotunga na walio "upload" nyimbo.Ninashindwa kupata noti za nyimbo husika;Nisaidieni.

Toa Maoni yako hapa