Ingia / Jisajili

Nami Maombi Yangu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: EXAVERY NGONYANI

Umepakuliwa mara 3,190 | Umetazamwa mara 10,055

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nami maombi yangu nakuomba wewe Bwana, wakati ukupendazao, Ee Mungu kwa wingi wa fadhili zako unijibu x 2


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa