Ingia / Jisajili

Msisumbukie Maisha Yenu

Mtunzi: John Mgandu
> Tazama Nyimbo nyingine za John Mgandu

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 147 | Umetazamwa mara 190

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Msisumbukie maisha yenu mtakula nini wala miili yenu itavaa nini X2

Kwa kuwa maisha ni zaidi ya chakula na mwili ni zaidi ni zaidi ya mavazi

(Waangalieni ndege angani) wala hawapandi wala hawavuni hawana ghala na Mungu huwalisha huwalisha X2

1. Ni yupi kwenu ambaye akijisumbua aweza kujiongeza kimo chake hata mkono mmoja mkono mmoja

2. Basi ikiwa hamuwezi neno lililo dogo kwanini kujisumbua kujisumbua kwa ajili ya yale mengine

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa