Ingia / Jisajili

NAMWAGA DAMU

Mtunzi: PARTO ORGANIST
> Mfahamu Zaidi PARTO ORGANIST
> Tazama Nyimbo nyingine za PARTO ORGANIST

Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma

Umepakiwa na: Patrick Irungu

Umepakuliwa mara 535 | Umetazamwa mara 992

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAMWAGA DAMU Namwaga damu, yangu mimi kwa ajili ya ulimwengu, Kwa hiyo sasa, ulimwengu uwe kitu kimoja. STANZAS 1. (Asema Bwana Yesu msalabani, Wenzangu tegeni sikio kwa Bwana, Atuhimiza tuwe kundi moja.) *2 2. (Sisi ni watu wake Mwenyezi Mungu, Ya nini vita, hasira na magombano, Ni vema tusahishane sisi wenyewe.) *2 3. (Tutoe utengano kati yetu, Tuige mfano, wake Yesu Kristu, Umoja wa utatu Mtakatifu.) *2 4. (Ingawa tu makabila mbalimbali, Muumba mbingu, na dunia ni wetu sote, Na sote tumwombe Baba yetu.) *2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa