Ingia / Jisajili

MSHANGILIENI BWANA AMEFUFUKA

Mtunzi: PARTO ORGANIST
> Mfahamu Zaidi PARTO ORGANIST
> Tazama Nyimbo nyingine za PARTO ORGANIST

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Patrick Irungu

Umepakuliwa mara 384 | Umetazamwa mara 1,226

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
MSHANGILIENI BWANA AMEFUFUKA (Shangilieni Bwana, Aliyefufuka (hai) mshangilieni Bwana Aleluya ) *2 STANZAS 1. Kristu amefufuka, yeye ni nuru yetu, (Kristu Mwokozi wetu amefufuka) *2 2. Kristu Amefufuka, Ameshinda mauti, (Yeye ni Mtawala tena Aleluya.) *2 3. Mimi ndimi njia ,ukweli na uzima, (Mtu haji kwa Baba ila ya mimi.) *2 4. Mtu akinipenda, Tashika neno langu (Na Baba wa mbinguni atampenda.) *2 5. Yeyote ajaye kwangu, nitamkaribisha, (Atakaa nasi milele Amina) *2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa