Ingia / Jisajili

TABIBU BORA

Mtunzi: PARTO ORGANIST
> Mfahamu Zaidi PARTO ORGANIST
> Tazama Nyimbo nyingine za PARTO ORGANIST

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Miito

Umepakiwa na: Patrick Irungu

Umepakuliwa mara 159 | Umetazamwa mara 757

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
TABIBU BORA (Bwana Yesu, wewe ni Tabibu Bora, Karibu utibu magonjwa yangu) *2 STANZAS 1. (Niko hoi (kwa-ku) kungojea, Naweka tumaini langu kwako.) *2 2. (Maafa (yasiyo) hesabika, Yanizunguka hata siwezi kuona.) *2 3. (Maadui (wani) sema vibaya, Atakufa lini jina lake litoweke.) *2 4. (Ee Mwenyezi Mungu Muumba wangu, Unionee huruma uniponye.) *2

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa