Maneno ya wimbo
1.Nasema na kanisa lililo wakati wa sasa na wenye changamoto nyingi linavurugwa na kutikiswa na Migogoro ya ndani ugomvi wa madaraka na ubadhilifu wa mali×2
2.Tuombee kanisa lirudi kwenye msimamo na ule uchaji wa kweli liwe imara lisonge mbele kwa uadilifu wote chini ya uongozi roho mtakatifu wa Mungu×2
Kibwagizo
Hata sasa sisi n watu wa tabia za mwili tunaenenda tunaenda kibinadamu
Kuna fitina na husuda ufisadi na masengenyo yote haya yameonekana kwetu tunaiharibu kazi ya Mungu tunamkosea Mungu Kwa kazi ile aliyotukabidhi ili tuifanye tunamchukiza Mungu Tujitafakari wapi tunakokwenda Turudi kwa Mungu×2
Nyimbo nyingine za mtunzi huyu