Ingia / Jisajili

Naye Mwenye Kunila

Mtunzi: Augustine Rutakolezibwa
> Mfahamu Zaidi Augustine Rutakolezibwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Augustine Rutakolezibwa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: AUGUSTINE RUTAKOLZIBWA

Umepakuliwa mara 496 | Umetazamwa mara 1,407

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 31 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NAYE MWENYE KUNILA- Augustine Ruta

kIITIKIO; Naye mwenye kunila atakuwa hai, atakuwa hai kwa mimi; asema Bwana

1.Kama vile Baba alivyo hai alivyonituma mimi, nami ni hai kwa Baba

2. Kadhalika naye mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi, atakuwa hai kwa mimi

3.Basi huu ndio mkate wa mbingu ulioshuka toka mbinguni, ulioshuka toka mbinguni.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa