Ingia / Jisajili

Nchi Ilikaa Kimya

Mtunzi: Erick Daniel Kassindi
> Mfahamu Zaidi Erick Daniel Kassindi
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Daniel Kassindi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: ERICK DANIEL KASINDI

Umepakuliwa mara 176 | Umetazamwa mara 279

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nchi ilikaa kimya kuutafakari utukufu, utukufu utukufa wa mwana wa Mungux2 Kimya sinzia Eee mwana wa Mungu, malaika wa Mungu watakutunza mwana, kimya sinzia ewe mwana wa Mungux2 1. Hii ndiyo siku takatifu aliyoifanya Bwana, tutaishangilia na kuifurahia. 2. Mtoto Yesu leo kazaliwa, ahadi imetimia, nuru imetung'aria tuimbe aleluya. 3. Pazeni sauti kwa furaha tumwimbie mtoto Yesu, mwana wa Mungu masiya, leo amezaliwa.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa