Ingia / Jisajili

Nchi Imejaa Fadhili

Mtunzi: Faustine J. Mtegeta
> Tazama Nyimbo nyingine za Faustine J. Mtegeta

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 2,908 | Umetazamwa mara 7,268

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Nchi imejaa fadhili zake Bwana x 2
Kwa neno lake, kwa neno lake, kwa neno lake mbingu zilifanyika x 2

  1. Kwa neno la Bwana Mungu wetu mbingu zilifanyika, na jeshi lake, kwa pumzi ya kinywa chake.
     
  2. Hukusanya maji ya bahari chungu na huviweka vilindi vyote, huviweka katika ghala.
     
  3. Heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu alio wachagua kuwa urithi wake.
     
  4. Toka mbinguni, Bwana Mungu huchungulia, huwatazama wanadamu wote wote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa