Mtunzi: Frt. Godfrey Masokola
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt. Godfrey Masokola
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Godfrey MASOKOLA
Umepakuliwa mara 1,140 | Umetazamwa mara 2,829
Download Nota Download MidiKiitikio. Ndimi mkate wa uzima, (uzima) ulioshuka toka mbinguni (yeye)
aulaye mwili wangu nakuinywa damu yangu hukaa ndani yangu
nami hukaaa ndani yake (yeye) x 2.
1. anilaye mimi hataona njaa kamwe ataishi milele, ataishi milele milele yote
2. Tena anilye anauzima wa milele, nitamfufua, nitamfufua siku ya mwisho
3.Maana mwili wangu ni chakula kweli na damu yangu ni kinywaji cha uzima, ni uzima