Ingia / Jisajili

Ndiyo Mkate Wa Malaika

Mtunzi: Joseph Makoye
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Makoye

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Vusile Silonda

Umepakuliwa mara 7,423 | Umetazamwa mara 12,540

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ndiyo Mkate wa malaika, chakula cha wasafiri wenye raha ya milele sio mkate wa kafiri 

  1. Alhamisi Yesu mwokozi alisema kwa sauti, huu ndio mwili wangu, haya maneno magumu.
     
  2. Vilevile mwokozi wetu alisema kama mwanzo hii ndiyo damu yangu, fanyeni hivyo daima.
     
  3. Vyote  ni kwa ajili yetu, ni kwa ajili ya wote kwa ondoleo la dhambi, twatubu makosa yetu
     
  4. Twakuomba Yesu Mwokozi, utupe chakula chetu tukiwa na moyo safi, utushibishe milele

Maoni - Toa Maoni

Renatus Emmanuel rugemalira Oct 13, 2016
ninawashukulu nyote mnao tuonyesha nyimbo ambazo malanyingi tulizisikia zamani na ilikuwa ngumu kupatikana maana watunzi wengine walishatangulia wapo wanaimba mbinguni ninawashukulu sana.

Toa Maoni yako hapa