Ingia / Jisajili

Ndugu Leo Mnaanza Maisha Mapya

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 53 | Umetazamwa mara 80

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NDUGU LEO MNAANZA MAISHA MAPYA Ndugu leo mnaanza maisha mapya x2 Leo mnaunganishwa kuwa mwili mmoja lo! wala si wawili ni mwili mmoja x2 Mashairi 1)Leo tunawaombea Mungu awabariki muishi vyema 2)Mtaacha Baba mnaanza maisha yenu wenyewe 3)Maisha yenu ya ndoa muyajaze upendo na msamaha

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa