Ingia / Jisajili

Ninaufungua Moyo

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 78 | Umetazamwa mara 147

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Ninaufungua Moyo wangu, ninaufungua Moyo wangu ili Bwana Yesu uingie x2, karibu Yesu Moyoni mwangu karibu Yesu Moyoni mwangu x2 MASHAIRI 1)Bwana Yesu ulisema wasimama mlangoni unabisha hodi, tazama Bwana nimeufungua moyo wangu wote nakukaribisha 2)Bwana Yesu nakupenda wewe ni uzima wangu tegemeo langu, tazama Bwana nimeufungua moyo wangu wote nakukaribisha 3)Mwili wako ni chakula Damu yako ni kinywaji tulizo la moyo, tazama Bwana nimeufungua Moyo wangu wote nakukaribisha

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa