Ingia / Jisajili

Baba Askofu Pokea Zawadi

Mtunzi: Lisley J Kimbwi
> Mfahamu Zaidi Lisley J Kimbwi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lisley J Kimbwi

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Lisley Kimbwi

Umepakuliwa mara 65 | Umetazamwa mara 90

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
BABA ASKOFU THOMAS KIANGIO POKEA ZAWADI Baba Askofu pokea zawadi zetu, tunakutolea kwa upendo mkuu (Baba), pokea Baba zawadi zetu (Baba), Ba ba Askofu Thomas Kiangio pokea zawadi 1)Twakukaribisha kwetu Mtakatifu Petro Saruji tunakupa na zawadi Baba pokea 2)Tunakushukuru Baba kuungana nasi leo tunakupa na zawadi Baba pokea 3)Mungu akutie nguvu katika utume wako tunakupa na zawadi Baba pokea

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa