Ingia / Jisajili

Nendeni Duniani Kote

Mtunzi: Rev. Fr. D. Ntapambata
> Tazama Nyimbo nyingine za Rev. Fr. D. Ntapambata

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Lawrence Nyansago

Umepakuliwa mara 2,988 | Umetazamwa mara 6,331

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NENDENI DUNIANI KOTE

Nendeni duniani kote mkawafanye mataifa yote kuwa ni wanafunzi wangu x2

  1. Nendeni duniani kote, mkawafanye makabila yote, kuwa ni wanafunzi wangu.
  2. Nendeni duniani kote, hubirini kwao watu wote, wajue hili neno langu
  3. Pelekeni kwa watu wote, habari njema ya wokovu, wapate kuwa kundi langu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa