Ingia / Jisajili

Ngome Imevunjwa

Mtunzi: Fr. Joseph Sekija
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Joseph Sekija

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 1,070 | Umetazamwa mara 2,790

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Ngome ya shetani, ngome ya shetani imevunjwa
Kambi ya shetani, kambi ya shetani imevunjwa
Imevunjwa kwa kishindo cha kufufuka kwake Kristu
Kweli Imevunjwa, Kweli Imevunjwa, Kweli Imevunjwa kwa nguvu zake Kristu x2 

  1. Juzi alipozikwa walisema ameshindwa, leo amefufuka shetani amesagwa kavunjwa.
     
  2. Waliliweka jiwe kubwa lisilobebeka, liwe ngome imara ya kuzuia asifufuke.
     
  3. Ngome kongwe na kambi ya shetani imevunjwa, mwana wa Mungu yuko huru na sisi tu watu huru.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa