Ingia / Jisajili

Yesu Mzima

Mtunzi: Fr. Joseph Sekija
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Joseph Sekija

Makundi Nyimbo: Pasaka

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 794 | Umetazamwa mara 2,601

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

  1. Walipokuwa wameshikwa na mshangao, watu wawili wakatoka wakasema,

    Mwamtafuta mzima kwa wafu, Yesu mzima makaburini hayupo.
    Kumbukeni alivyosema sitakufa nitaishi mzima.
     
  2. Wanawake wakakumbuka neno, aliyosema Yesu kabla ya kuteswa.
     
  3. Wakarudi kuwapasha mitume habari njema Bwana Yesu kafufuka.
     
  4. Nao walikuwa ni Maria Magdalena, Yohana na Maria mama wa Yakobo.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa