Mtunzi: Fr. Joseph Sekija
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. Joseph Sekija
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Benny Komba
Umepakuliwa mara 487 | Umetazamwa mara 1,846
Download Nota Download MidiNGOME IMEVUNJWA
(a) Ngome ya shetani (ngome) ngome ya shetani imevunjwa
(b) Kambi ya shetani (kambi) kambi ya shetani imevunjwa
Imevunjwa kwa kishindo cha kufufuka kwake Kristu [Kweli imevunjwa kweli imevunjwa kweli imevunjwa kwa nguvu za Kristu] x 2
1. Juzi alipozikwa walisema ameshindwa, leo amefufuka shetani amesagwa kavunjwa
2. Waliliweka jiwe kubwa lisilobebeka, liwe ngome imara ya kuzuia asifufuke
3. Ngome kongwe na kambi ya shetani imevunjwa, Mwana wa Mungu yuko huru na sisi tu watu huru