Mtunzi: Lucas Mlingi
> Mfahamu Zaidi Lucas Mlingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Lucas Mlingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: lucas mlingi
Umepakuliwa mara 674 | Umetazamwa mara 2,653
Download NotaNITAYAINUA MACHO YANGU - L MLINGI
Nitayainua macho yangu niitazame milima msaada wangu utatoka wapi? msaada wangu u katika Bwana aliyezifanya mbingu na nchi mbingu na nchi.
Soprano/ Alto
1. asiuache mguu wako usogezwe asisinzie akulindaye.
2. Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi yeye aliye mlinzi wa Israel.
Alto
3. Bwana ndiye mlinzi wako Bwana ni uvuli, mkono wako wa kuume.
Bass/ Tenor
4. Jua halitaupiga mchana wala mwezi wakati wa usiku
5. Bwana atakulinda na mabaya yote atakulinda nafsi yako.