Mtunzi: Nivard S Mwageni
> Mfahamu Zaidi Nivard S Mwageni
> Tazama Nyimbo nyingine za Nivard S Mwageni
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Matawi | Zaburi
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 1,099 | Umetazamwa mara 2,694
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ni nani mfalme wa utukufu ni nani mfalme wa utukufu nani mfalme wa utukufu x2 Ni Bwana, ni Bwana, ni Bwana, ni Bwana x2
Maimbilizi:
1.Inueni vichwa vyenu enyi malango, inukeni enyi malango ya milele, mfalme wa utukufu apate kuingia
2.Ni nani mfalme wa utukufu, Bwana Bwana mwenye nguvu hodari, Bwana Bwana hodari hodari wa vita.
3.Inueni vichwa vyenu enyi malango, namviinueni enyi malango ya milele, mfalme wa utukufu apate kuingia
4.Ni nani huyu mfalme wa utukufu, Bwana Bwana Bwana wa majeshi, yeye ndiye mfalme mfalme wa utukufu