Ingia / Jisajili

Niimbeje

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 515 | Umetazamwa mara 1,777

Download Nota
Maneno ya wimbo

1.Bwana tazama ulivyoniumba sura nzuri napendeza napendeza duniani Bwana ukaniweka na vyote vilivyomo ni vitawale ae ni upendo wa ajabu nashukuru.

2.Ukuu wako Bwana ni wa ajabu uwezako wa ajabu wa ajabu Bwana wetu wabaya pia wema una wamiminia baraka zako ae ni upendo ya ajabu twashukuru.

3.Sauti tamu zinakuimbia kwa nyimbo tamu na midundo motomoto Waimbaji tunakuimbia pokea shukrani zetu kwa nyimbo ae twashukuru wema wako wa ajabu.

Kiitikio.

Kama kuimba Bwana niembeje, kama kucheza Bwana nichezeje? {Niimbeje, Nichezeje, niimbeje iwe kwangu kama Shukrani? x2}


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa