Ingia / Jisajili

Tumshangilie Mwokozi

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 527 | Umetazamwa mara 1,893

Download Nota
Maneno ya wimbo

(Chereko, Vifijo na nderemo)  hoihoi nazo nyimbo za furaha za sikika pande zote duniani x2. Mwana wa Mungu ae ae amezaliwa, mwokozi wetu ae ae amezaliwa. Tumshangilie mwokozi tumtunze na zawadi tumwimbie nyimbo tumwimbie mwokozi wetu. (Haya haya) (twendeni Bethlehemu pangoni tukamsalimu x2.)(Chereko, Vifijo na nderemo) hoihoi nazo nyimbo za furaha za sikika pande zote duniani x2. Mwana wa Mungu ae ae amezaliwa, mwokozi wetu ae ae amezaliwa. Tumshangilie mwokozi tumtunze na zawadi tumwimbie nyimbo tumwimbie mwokozi wetu. (Haya haya) (twendeni Bethlehemu pangoni tukamsalimu x2.)

  • 1.Mwokozi amezaliwa amezaliwa duniani, (kutukomboa utumwani mwa shetani x2)
  • 2.Wachunga na mamajusi waenda mbio pangoni,( wamtolea zawadi mfalme wao x2)
  • 3.Kimya kimya bara kimya bahari kimya kimya kimya mbingu na dunia mtoto Yesu asinzia


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa